Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Rayvanny
Rayvanny
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Ray C
Ray C
Songwriter
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
Solo Ray
Solo Ray
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Sound Boy
Sound Boy
Producer

Lyrics

[Intro]
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything o
[Verse 1]
Aananiamsha kwa mabusu-mabusus
Maama ananipa massage ya mwili kwa chuchu
Nyama ananipa biriani upaja kuku
Jamaa mbuzi kaja zizini Simba na Zuchu
[Verse 2]
Na wanune, wanune, wanune
Na iwaume wakose cha kusema paka shume
Na jua inawachoma-choma kushinda pini
Wanatamani ndo wangekuwa mimi
Unavyonipa joto centigrade tisini, aah raha
[Verse 3]
Najichanganya hiliki na mdalasini, lowesa nguo nisiende kazini
Nikichafuka nifute kwa ulimi
Aah raha, raha
[PreChorus]
Ooh, ooh
Ooh, ooh
[Chorus]
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything o
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything o
[Bridge]
Yeah, yeah, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah, yeah
Yeah, yeah, yeah, yeah
[Verse 4]
Mapenzi ni kama upepo
Unavuma ukipepea mioyo yetu
Umevumini kwetu vicheko
Wameona ununa hizo sio shida zetu
Na wanune, wanune, wanune
Na iwaume wakose cha kusema paka shume
[PreChorus]
Si umuache (Wacha tukusaidie)
So niko naye (Acha tukusaidie)
Mlisema wa nini (Acha tukusaidie)
Acha tukusaidie
Ukisema umemchoka (Acha tukusaidie)
Leo macho yanakutoka (Acha tukusaidie)
Mnanuna nini wewe (Acha tukusaidie), acha tukusaidie
[PreChorus]
Ooh, ooh
Ooh, ooh
[Chorus]
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything o
Honey love sweetheart teamo
My love, my baby, my everything o
Written by: Ray C, Rayvanny, Solo Ray
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...