Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
ANISET BUTATI
Performer
Rose Muhando
Performer
COMPOSITION & LYRICS
ANISET BUTATI
Songwriter
Rose Muhando
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Waliosema huwezi (Wale), nasema wale (Wale)
Walio kuvunja moyo (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikuinua
Watakupigia saluti
[Chorus]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Waliosema huwezi (Wale), nasema wale (Wale)
Walio kuvunja moyo (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikubariki
Watakupigia saluti
[Verse 2]
Unapo ianza safari
Unapo ianza safaria jambo lolote
Wanainuka wengine, wanakuvunja moyo
Wanainuka wengi wanasema huwezi
[Verse 3]
Wanakupa na mifano ya watu walioshindwa
Wanakupa na mifano ya watu walioshindwa
Ukiendelea kufanya
Watasama tuone atafka wapi
Ukipiga hatua kidogo
Watasama tuone atafka wapi
[Verse 4]
Usikate tama sababu hawajakutia moyo
Usikate tama sababu wamekuvunja moyo
Usikate tama sababu umeambiwa huwezi
Achana nao, ambao hawajuii
Ukubwa wa Mungu unaemuabudu
Achana nao, ambao hawajuii
Uweza wa Mungu unaemuabudu
[Verse 5]
Kupitia hilo mungu atakuinua
Mbele yao, hawata amini
Kupita hilo Mungu atakubariki
Mbele yao hawata kubali
[Chorus]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Waliosema huwezi (Wale), nasema wale (Wale)
Walio kuvunja moyo (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikuinua
Watakupigia saluti
[Chorus]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Waliosema huwezi (Wale), nasema wale (Wale)
Walio kuvunja moyo (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikuinua
Watakupigia saluti
[Verse 6]
Wale, wale, wale, wale wale, wale, wale walee
Jamani wale
Waliopanga vikao vya kushindwa kwako wale
Walio tabiri maanguko yako wale
Waliyocheka wakati wa mapito wako wale
Matendo makubwa atakayo kutendea Mungu wataona
Kuinuliwa atakapo kuinua Mungu wataona
Utakapo sogea step-step wataona
Utakapo fanikiwa nakuzidi wataona
Wale walee
[Chorus]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Wanaosema huwezi (Wale, wale)
Kasho macho yatawatoka (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikuinua
Watakupigia saluti
[Chorus]
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Waliosema huwezi (Wale), nasema wale (Wale)
Wale-wale (Wale), nasema wale (Wale)
Watakupigia saluti
Kesho Mungu akikuinua
Watakupigia saluti
Written by: ANISET BUTATI, Rose Muhando


