Lyrics
Nalikua muovu naye ameniosha
Amenifanya mpya kwaajili yake
Amenibadilisha naishii kwaajili
Ya wingibwa upendo na rehema
Zake zinazozidi ndani yanguu
Ninani awezaye kututenganisha
Na upendo wa Mungu eeh nani
Ni nani tena awezaye
Writer(s): Martha Mwaipaja
Lyrics powered by www.musixmatch.com