Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Willy Paul
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Willy Paul
Songwriter
Wilson Ouma
Songwriter
Lyrics
Wewe ndiwe mama tena best friend nakupenda ma
Ati wewe ndiwe mama tena best friend
Kama vile daddy aliniwacha mamy usiniwache Willy
Kama vile daddy aliniwacha mamy usiniwache Willy
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Kama vile daddy aliniwacha mamy usiniwache willy
Kama vile daddy aliniwacha mamy usiniwache Willy
Ubonge na Mungu akuruhusu ubaki nami mama
Kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye Jalali
Kama ukishindwa tuma malaika tubonge naye Mwenyezi
Uliniaidi ukingojeka utapona
Uliniaidi ukiondoka mama utarudi
Uliniaidi utakuwa nami mpaka mwisho
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Shida kwa wingi umepitia mama wange
Tatizo ni mingi umepitia mama wange
Lakini umeyashinda umeyashinda we mama wange
Lakini umeyashinda umeyashinda kwa jina lake Jalali, halali
Wewe ndo wangu mama wange
Mimi ndo wako mwana wako
Wewe ndo wangu mama wange
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Nyumbani kwangu ni kwako mama
Written by: Willy Paul, Wilson Ouma


