Lyrics

Wily wily wily willypozee Na nandy dandy Kama utaenda angalia pa kutua Kwenye bati au bustani ya maua Mwambie nampenda ananisumbua Mwambie nampenda japo kauchubua njiwa Peleka salamu salamu zangu Me sina khali naona mawingu Nyota nyota mwezi kizunguzungu Khali sio shwari haki ya Mungu Nimeshazama kwenye penzi naweza sema nimepagawa Mwambie sijiwezi ohhhh Where are you ×3 njiwa) ×2 Njiwa njiwa×4 Mwambie sio chakula tu hata maji me sinywi Mpaka anatuma watu kina Jose Mbilinyi Na hizo kauli zake tu ananikata maini Anacheza karata tatu hata aniamini Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimepagawa Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa Nimeshazama kwenye penzi waweza sema nimechachama Mwambie sijiwezi aje mapema anipe dawa (BACK TO CHORUS ×3)
Writer(s): Wilson Abubakar Radido, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out