Credits

PERFORMING ARTISTS
Janet Otieno
Janet Otieno
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Janet Otieno
Janet Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Janet Otieno
Janet Otieno
Executive Producer

Lyrics

[Verse 1]
Maisha magumu sana nimepitia
Nikajaribu tafuta msaada sikupata
Nikaendea mwanadamu mwisho akanidharau
Kumbe msaada wa mwanadamu unatoka kwa Mungu
[Verse 2]
Nilijua wapo wenye haki yakubarikiwa tuu
Kumbe baraka nihaki ya kila mmoja
Nimebadili wazo langu namwelekea Mungu
Kwake msaada wangu unapatikana
Msaada wa mwanadamu ni wa muda mfupi
Nami zamu yangu kubarikiwa wee
[PreChorus]
Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
[Chorus]
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
[Verse 3]
Nimeamua kwenda zaidi na zaidi
Nimejipanga hadi nione matunda yake
Yale Mungu amewekeza ndani yanguu
Najua Mungu yuko kazini Kunikamilisha
Akisema nimebarikiwa nimebarikiwa tuu
Hataukipinga wewe leo mimi nimebarikiwa tuu
[Verse 4]
Mlima gani kuu sana usioung'owa (Usioung'owa ee)
Jaribu gani gumu sama usiloweza (Usiloweza Mungu wee)
Chozi gani zito kwako usilolifuta (Mizito, mizito)
Na ombi gani kubwa sana usilolijibu
[PreChorus]
Wakati ni uu huu waku barikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
[Chorus]
Napokea Kwako (Baraka yangu) Baba napokea kwako
Napokea kwako (Afya yangu) Baba napokea kwakoo
Napokea Kwako (Utajiri wangu) Yesu napokea kwakoo
Napokea Kwako (Elimu yangu) Baba napokea kwakoo
[PreChorus]
Wakati ni uu huu wakubarikiwa
Zamu ni yangu sasa kupokea
Nimechoshwa na shida za dunia
[Chorus]
Napokea kwako (Napokea kwako) Baba napokea kwakoo
Napokea Kwako (Kazi Yangu) Baba napokea kwakoo
Napokea kwako (Na watoto wangu) Yesu napokea kwakoo
Napokea Kwako Baba napokea kwakoo
[Chorus]
Napokea Kwako Baba napokea kwakoo
Napokea Kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Yesu napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Baba napokea kwakoo
Napokea kwako Yesu napokea kwakoo
Written by: Janet Otieno
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...