Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Blessed Hango
Blessed Hango
Songwriter

Lyrics

Umekuwa Mwema
Mwema Bwana
Umekuwa Mwema
Nami Nakutukuza
Umekuwa Mwaminifu Bwana
Mwaminifu Sana nami
Nakutukuza
 Nikulipe Nini Kwa Yote Utendayo
Moyo wa Shukrani Nauachilia
 Asante Kwa Yote Utendayo
Written by: Blessed Hango
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...