Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Neema Gospel Choir
Neema Gospel Choir
Performer
Fredrick Japhet Kilago
Fredrick Japhet Kilago
Piano
Quillian kilago
Quillian kilago
Organ
Kepha Mdeme
Kepha Mdeme
Synthesizer
COMPOSITION & LYRICS
Regnard Swai
Regnard Swai
Songwriter
Godwin Mlambo
Godwin Mlambo
Songwriter

Lyrics

Anatenda zaidi na zaidi
Mungu wangu ni mwaminifu
Sijawahi ona mwenye haki ameachwa
Sijaona aliyeomba asipewe
Sijaona aliyegonga asifunguliwe
Sijaona anayetafuta na asione
Wewe pambana tafuta uso wa Mungu
Mungu wangu ni mwaminifu
Soma neno lake tafakari kila mara
Mungu wangu ni mwaminifu
Yeye alitazamaye neno lake
Apate kulitimiza kwangu ni Yesu
Ndiye jana leo hata milele
Habadiliki kamwe
He will never change
 
Mungu wa amani yangu
Uliye mwamba wa wokovu wangu
Nimekutumaini nisiaibike milele
Maana unatenda zaidi na zaidi
Mungu wangu mwaminifu
Asiye badilika kamwe
ni Mungu yule yule
Mungu wangu ni mwaminifu
Hajawahi kushindwa milele yote
Mungu wangu ni mwaminifu
Written by: Godwin Mlambo, Regnard Swai
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...