Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Zabron Singers
Performer
Joshua Katumbo
12-String Acoustic Guitar
COMPOSITION & LYRICS
JAPHET ZABRON PHILIP
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Joshua Katumbo
Producer
Lyrics
Unakumbuka jinsi ulikua mtu mzuri (Unaendeleaje heeeee)
Tukakuita church boy tena mtu wa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unakumbuka jinsi ulikua mtu wa wema (Unaendeleaje heeeee)
Tutakuita church girl tena Mtu wa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Mtu wa watu mwenye kujali mwenye upendo Mwingi
Ulifurahisha wadamu na Mungu wa mbinguni
Nawaza naumia safari hii ya wote unaendeleaje
Furaha yangu mimi nione tupo wote safarini pamoja.
Unaendeleaje na maombi yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Ibaada yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Sadaka zako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Imani yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje eh eh eeh (Unaendeleaje heeeee)
Unakumbuka enzi ulikua shemasi wetu (Unaendeleaje heeeee)
Mzee wa kanisa mchungaji Bawabu wetu (Unaendeleaje heeeee)
Je wakumbuka jinsi ulipenda neno la Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Kwenye makambi kanisani pote tulikuona (Unaendeleaje heeeee)
Waendeleaje na ndoa ya ujana wa siku zako, ulitutia na moyo tutumike kwa ujasiri
Nawaza naumia safari hii ya wote unaendeleaje
Furaha yangu mimi nione tupo wote safarini pamoja
Unaendeleaje (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje eh eh eeh
Unaendeleaje na maombi yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Ibaada yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Sadaka zako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje na Imani yako kwa Mungu (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje eh eh eeh (Unaendeleaje heeeee)
Unaendeleaje Unaendeleaje Mchungaji wangu
Unaendeleaje Unaendeleaje Rafiki yangu
Unaendeleaje Unaendeleaje Mshiriki mwenzangu
Unaendeleaje Unaendeleaje Kiongozi mwenzangu
Written by: JAPHET ZABRON PHILIP