Letras

Eeh nataka kukaa na wewe (oh, oh, oh) Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie) Kuwa karibu nawe, ninapenda Kuwa karibu na wewe niko uhuru We hunifunza njia zako, kweli nazipenda Kwani njia zako nimetambua Zanifaa mimi maishani mwangu Unifunze, nitengeneze niwe kama wewe Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe) Siku za maisha yangu (ooh) Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie Baba) Milele hata milele (oh yeah, oh yeah, oh yeah) Yesu wangu Kuwa na karibu nawe, ninapenda Mahali wewe Yesu, we ulipo (we ulipo) Nakutamani, wewe ni, tamaa ya roho yangu We ni afadhali siku moja nawe Kuliko maelfu mahali pengine (mahali pengine) Kuna amani (furaha tele) Nakupenda wewe Nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe) Siku za maisha yangu (siku zangu zote) Nataka we nikuimbie Yesu (nikuimbie) Milele hata milele (oh yeah, yeah, yeah) Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe) Siku za maisha yangu (ooh, siku zangu zote) Eeh nataka we nikuimbie Baba (nikuimbie Yesu) Milele hata milele (ooh-ooh) Milele, nikuabudu Baba Nikuimbie (nikuabudu) Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah, yeah Siku zangu zote Eeh nataka kukaa na wewe (kukaa na wewe) Siku za maisha yangu (ooh) Eeh nataka we nikuimbie Baba (we nikuimbie) Milele hata milele (oh la-la, la-la, le-la, la-la) Eeh nataka nitembee na wewe (nitembee na wewe) Siku za maisha yangu (nitembee nawe) Eeh nataka we nikuinue Baba (nikuinue yeah, yeah) Milele hata milele (oh wewe, wewe, wewe, wewe pekee yako) Oh wewe pekee yako Siku zangu zote Baba nikuimbie Nitembee na wewe Nikuabudu Baba Wewe pekee, wewe pekee, wewe pekee Oh yeah, yeah, yeah, yeah
Writer(s): Mercy Masika Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out