Letras

Dengula nyonga msokoto Maana mimi nimekuja na bapa Masha luv wee lete watoto Wanyonyonga party za kukata Nyumbani mimi nimechoka Mavitu ya mama Nataka dhuluma dhuluma eeh Nipate ndogo ndogo baridi mwanana Kama kuna nyama choma fire Mapucho pucho Akikupa kwenye kona gwaya Nyuma kwa mbele, kulia, Kushoto Wauwe! Wauwe! Wauwe! Wauwe! Maritili, ka dinner Na anataka piece kama wema Japo kitu kama mkono, mkono Ata kwenye giza ndo kudema Mama mama jishikilie Nabadilikia kilimani Oooh mama mama nitilie Kama tandoni na ukokoni Kama kuna nyama choma fire Mapocho pocho Akikupa kwenye kona gwaya Nyuma kwa mbele, kulia, Kushoto Wauwe! Wauwe! Wauwe! Wauwe! Alkaida! Na kama alkaida Alkaida! Na kama alkaida! Wauwe! Wauwe! Wauwe! Wauwe!
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out