Letras

Chuu chuuu Chuu chuuu Chuu chuuu Chuu chuuu Aiiiiii yezaa Aiiiiii yezaa Aiiiiii yezaa Angry panda under micy Tapo tapo tapo Ka ayuko rada apigwe tapo Ni mtu wako wangu wa kando Ukilalisha banaa napita nakooo Aki jilegeza unapiga tapo Unakapoteza unapiga tapo Ukisha teleza unapiga tapo Ati fom tuuu ni Tapo tapo tapo Eeii Nateleza kwa beat,utathani konokono Ye nika shabiki,vile anatupa mikonao Anashangilia nikaa ameshinda lotto Ati,miniwake?alaa iyo ni ndotoo Come nikushoo vile jooh sii hufanyaaa Adi ukiniroga,bado nitakuhanya Ukisha anika nakuja nakumanyaa Nauma napuliza najifanya kama panya Yee hupiga nduru manzee kaa scooby doo Ashachanganikiwa,anadance skelewu Physically fit ana bed kaa bambuu Mii ndio nyuki,napeana utamuu Kaa ni wako itabakii umeteta Juu ntacheza na hio mwili kaa dictator Uta baki umeshitukaaa Gai fafa Pewa kitu,Tetema,kama fifafaa Tapo tapo tapo Ka ayuko rada apigwe tapo Ni mtu wako wangu wa kando Ukilalisha banaa napita nakooo Aki jilegeza unapiga tapo Unakapoteza unapiga tapo Ukisha teleza unapiga tapo Ati fom tuuu ni Tapo tapo tapo Ati Shikilia mali yako Kaa rada naezapita naye Juu zikishika naeza shuka na ye Na tutaenda home ntamsuka atanipee Haahaar Pole pole tukiset Tumekuja na ubaya ona vumbi kasee Na watachora saba juu beat sio lame Nextime kaa rada juu si ndio kusay aahh Angry panda ndio name Vile si huwapanda Utathani tunadate Kacheze na matope hii game ni ya kizee Upende usipende Huezi kuwa me Aah Songa mbali na me Juu ukicome sana itakuwa ngori daddy Tingalinga ling Is a hit track ting 17B kasarani Straight outta Tapo tapo tapo Ka ayuko rada apigwe tapo Ni mtu wako wangu wa kando Ukilalisha banaa napita nakooo Aki jilegeza unapiga tapo Unakapoteza unapiga tapo Ukisha teleza unapiga tapo Ati fom tuuu ni Tapo tapo tapo Anakata ni kaa anataka Ju enyewe kameiva nikasupa nika yezayeza Mistambui kaa mvuvi na mvua vua Ukidai ni kwa kiti ama meza meza Nakapeleka mbanyu tuna anza kizitoka Juu nimeomoka lazima kumochoka Kanapiga magoti nika kameokoka Daktari mitishamba nakatibu nyoka Na mi siwezi kubali kukata Ukicome through niku rollie kindom Niku nding ndeng ndung Uki cover the face Mi na fire the base Huh Masaa ni ya waitane Ile time niko njing me na feel kama king Akuna cha udoctor me ndio ring ding Kadem kana sukwa anaringa Anatepwa anajipa Anatekwa anaseswa anatokwa Anatekwa anaseswa anatokwa Tapo tapo tapo Ka ayuko rada apigwe tapo Ni mtu wako wangu wa kando Ukilalisha banaa napita nakooo Aki jilegeza unapiga tapo Unakapoteza unapiga tapo Ukisha teleza unapiga tapo Ati fom tuuu ni Tapo tapo tapo Aiiii
Writer(s): Eugene Oyoo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out