Créditos
PERFORMING ARTISTS
Hamadai
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Hamadai
Composer
Letras
(The Mafic) Aaahiyaaa
(O righty)
Mapenzi ni safari ya wawili mi na wewe kimwana
Dhairi tusifanye Siri, wajue twapendana
Tuzae na mapacha wawili tuitwe baba mama
Usisikize wanafiki majirani tukapalanganyana
Na furahi mi nabonge la toto
Navimba tukiwa mtoko
Mi naye nikulwa nadoto
Wanatetemeka eheeh
Chumbani mafoto mafoto
Jikoni mapocho mapocho
Biryani makando makoko, mbona nanenepa heeee
Siawezi ohoo siawezi
Mapenzi ya kitoto siawezi
Napenda vinono vikubwa mie
Viduchu, viduchu, Siwezi
Siawezi ohoo siawezi
Mapenzi ya kushare siawezi hi-hii-hiii
Zabwa zabwa oh (ah zabwa maaa zabwa maaa)
Zabwaaaa eehee (ah zabwa maaa) mimi kwakwe zabwa
Zabwa zabwa oh zabwa (zabwa, ah zabwa maa zabwa maaa)
Zabwaaaa eehee, siuna pino lachungu kwake zabwa mie
Hhmmm
Ah! Shamba heka moja mi uwezo wakununua sina (aahaah sina)
Ntakulisha chombeza na ugali wamuogo dinner (aahaah dinna)
Nivumilie vaa midosho soon tutaenda China (China)
Maradhi usijali na pambana nankufungulie bima
Aii! Sitamani nikuache nanjaa
Ukilia yangu zoa zoa Eh
Naganga kusaka chapaaa, mama Eh
Mmm! Kitandani wanipa raha
Sitamani hata kuchomoa mama
Naujanja wangu nakaa, HAMADAI
Siawezi Ooh siawezi, mapenzi ya kitoto siawezi
Mapenzi ya kushare mimi, haya yaiya yaiya yaiya yaiya
(Zabwa zabwa) kwake zabwa mimi (oh, ah zabwa maaa) kwake mie iyeee
(Zabwaaaa eehee)
Mimi kwake zabwa
(Zabwa Zabwa oh zabwa, ah zabwa maaa)
(Zabwaaaa eehee) siuna ndimo la chungu
Kwake zabwa mie iyee yeah yeah yeah yeah yeah
Kwamhh
Writer(s): Hamad Hassan, Hamadai, Hamadi Saidi Hassan
Lyrics powered by www.musixmatch.com