Vídeo musical

Christina Shusho - Roho (Official Video) SMS [Skiza 5962596] to 811
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Christina Shusho
Christina Shusho
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christina Shusho
Christina Shusho
Songwriter

Letras

Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani yangu Pamoja nawe nitashinda Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani Pamoja nawe nitashinda×2 Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani Pamoja nawe nina nguvu Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani Pamoja nawe nina nguvu ×2 (Nina nguvu)nina nguvu ×3 Pamoja nawe nina nguvuu (Niko salama) niko salama×3 Pamoja nawe niko salamaa (Nitashinda) nitashinda×3 Pamoja nawe nitashindaa Kama ardhi isiyo na maji inapasuka ndivyo Roho nakuhitaji fanya makao kwangu Moyo wangu wakutamani nafsi yangu yaona kiu Ee Roho kaa ndani yangu bila wewe siko salama Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani Pamoja nawe nitashinda×2 Ee Roho kaa ndani yangu Nikiwa nawe niko salama Ee Roho kaa ndani pamoja nawe nina nguvu ×2 (Nina nguvu)nina nguvu ×3 Pamoja nawe nina nguvuu (Niko salama) niko salama×3 Pamoja nawe niko salamaa (Nitashinda) nitashinda×3 Pamoja nawe nitashindaa
Writer(s): Jackson Mbao Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out