Letras

(Kimambo on the beats) Aiyayayaya aiyayayaya Aiyayayaya aiyayayaya Niko tuli baby Kama maji kwa mtungi Nyonga buli baby Nivute niiishi nibaki kishungi Aii zuri baby Nibandike nigande ka gundi Maakuli baby Nilishe nishibe kitumbo ndindi Unanikoleza, unanichombeza Unanilegeza ai wee Ukianzaga ndani unayaweza kitandani Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee Nakupenda, nakuwaza Forever you are, my boo boo Unipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea (Aiyayayaya aiyayayaya) Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena Nipo katikati nazungukwa na upendo Sa ninatokea wapi? Kaziba kote hajaacha pengo Wanafikaga wapi? Peku bila sendo Mfike saa ngapi vyote tembea kwa wako mwendo Nakupenda, nakuwaza Forever you are, my boo boo Unipende nikupende we Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea Nimekuzoea, nimekuzoea Nime nime nime nimekuzoea
Writer(s): Faustina Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out