Letras

Ndovu ni kuu og Itabidi wanijue ah ah yea yea Basi weka mkono juu ah ah ah You eyy Vile na bam bam Police wana ubaya Dame wako vile mahanjam Na mi sina ubaya Kosea uniite handsome Huskii izo ni hekaya Felicia na lisa Ivo ndo mi niliwaacquire cheki Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya Sku hizi vile anameza maramoja utagwaya Na ananringia sana flat tummy hana tyre Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya Mtoto wangu akiitwa ku ntakataa Hakunaga masomo ku nmekataa Unapeleka mtoi first year introduction Baada ya wiki mbili ashajua reproduction Ndovu ni kuu Ahh ah ah Na itabidi wanijue Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you Ahh ah ah You Ndovu ni kuu Ahh ah ah Na itabidi wanijue Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you Ahh ah ah Na pull up na ngali ya colour ngween ka nafanyanga safcom Luku kasuku lakini combato ni custom Peng analia mi hupenda vile unalap njones But juu sitaki kolona girl please put your mask on Nikwendete pamela humeza ka tembe Anapenda lollipop analamba ka pelemende Lazima akuwe mukamba jina ya pili ni mwende Mi naskia madem wakamba wanapenda ma eeii Kamecarry bam bam kanakaa kama mariah Nakashow tunaenda london but kumbe ni othaya Ntakosaje kupenda tam tam na jina ya kwanza brian Dame anakaa screen ya samsung so vidole ziko required Usichomee ku ao mastude hupata phd Tapatana nao kilimani kama si westy Social media Ndo social studies So nowadays ukitaka kuthigitha We mwambie mkafanye ghc huh Wale wamesoma ndo sampuli ya omollo g Ata reproduction pia si ni topic kwa biology Bora kuna chemistry pamela can just follow me Vile ndovu kubwa noma sana nya ka bwogo g Sina marafiki staki mbogi iniscrew kwenda Mnataka nblande kiasi ndo mni sue Hii city ya usherati tabia mbovu ni true Big up to krispah washajua ndovu ni kuu og Ahh ah ah Aki walae washatujua Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you Ahh ah ah You Ndovu ni kuu Ahh ah ah Aki walae washatujua Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you Ahh ah ah Its you Owkay mbaibe Ashaniambia anapenda fom za kunilenga lenga Anakaa mlami but mlami amesoteka Nimezoea njeri ndalu na vaileta Nimezoea msupa akinrolia kavela Ati ana gorilla wall siwezi penya Unadai mate na uko fom za ketepa Ka huwezi buy your drink si basi kwenda Mi nakupa kiss kwa clit na kill your status Ahh ah ah Na itabidi wanijue Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you Ahh ah ah Its you Ouuuuu Manzi yangu hukwaga sumu eey Either nimepagawa au ni juju Mhh cocktail ya mmaasai na mkikuyu Ako na gap kwa meno na bado she can chew you Ouuu ama ni lugha hainaga luku Kiswahili ninayo hadi kizungu Vile amenibam bam shiro Eh mahbebogin shumartar And im the badman she loves Ouuuu eeh Foodtraps ziukweka kwa moods Ka vile champagne huserveangwa nude Aii champagne huonja ka juice Mi hupiga kautsker juu Ndovu ni kuu Ahh ah ah Na itabidi wanijue Ahh ah ah Basi weka mkono juu Ahh ah ah Yes you You you
Writer(s): Christopher Githara Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out