Vídeo musical

Nitarejea (feat. Hawa)
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
Hawa
Hawa
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Lyrics
PRODUCTION & ENGINEERING
Bob Junior
Bob Junior
Producer

Letras

Vipi mizigo umeshaweka tayari Sijechelewa nkaachwa na gari Basi jikaze usilie mpenzi Mi nitarudi niombee kwa mwenyezi Zile taabu na njaa msimu mzima mavuno hakuna Huwa nakosa raha pale mkikosa cha kutafuna Roho yangu inauma, sema ntafanya nini na pesa sina Nakuonea na huruma, bora niende mjini kusaka Tumaa Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea Wanajua kwamba nafsi na roho vitakuwa na wasiwasi Ukumbuke na moyo utajawa na simanzi Ntakapokuwa nakwenda shambani afu niko peke Yangu honey Ntapokuja kuwa na majirani ntaumia aaah Pale napotoka kisimani ama nipo na kuni kichwani Sina wakunitua nyumbani ntaliaa Maneno yako yananfanya nakosa raha na mawazo Hata mwenzako sijawahi kufika dar huu ndo mwanzo Vile nakwenda na sijui pa kukaaa wala mavazi ooh We niombee niepushwe na balaa na maradhi ooh Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Nawe usichoke kuvumilia na kila siku kuniombea Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na Sisi Usisahau kama mkeo na wana, umetuacha na dhiki Vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na Marafiki Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie Sidanganyiki Unapokwenda kama ukifika salama, utukumbuke na Sisi Kumbuka mkeo na wana nyumbani, umetuacha na Dhiki ooh Vile usijali ila naomba chunga sana, ogopa na Marafiki Wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama, waambie Sidanganyiki Ntarejea mama Niombee nirudi salama Ohhh watoto wadanganye Ihh, ohh Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Wadanganye na vibagia, waambie pipi ntawaletea Kama watoto wakinililia waambie kesho nitarejea Nawe usichoke kuvumilia, na kila siku kuniombea
Writer(s): Naseeb Abdul Juma Issack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out