Letras

Oh, oh, nikupe taarifa mwenzangu, uh-uh Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu uh-uh Sema oh, oh nikupe taarifa mwenzangu, uh, uh Yame nifika kwako we mwanamke mwenzangu, uh, uh Bwan'ako ana lalamika kila akija nyumbani Eti hujui kupika Kula kwako hatamani Kwangu kalipenda tembele Toto laini, laini Shoga umenyimwa upole Tajiri wa kisirani Na samahani, samahani mwanzoni Siku jitambulisha mimi nani Ni miye njoo mke mwenzio A.K.A nyumba ndogo Tena nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo Sina ubaya (sina ubaya nawe) Ah ukinichukia (wani onea bure) Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe) Muke mwenza uki nichukiaa (wani onea bure) Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe) Ah, ukinichukia (wani onea bure) Oh, nasema mnyonge, mnyongeni Ni haki yake mpeni, muke mwenza unanifaa Miye nikiwa mwezini kwangu haiwezekani Kwako bwana anakaa Mambo kusaidiana wala Usihuzunike Siku hizi ku share mabwana ndjo Fashion kwa wanawakee Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike Sina ubaya (sina ubaya nawe) Ah, ukinichukiaa (wani onea bure) Ah, sina ubaya (sina ubaya nawe) Muke mwenza ukinichukiaa (wani onea bure) Oh, sina ubaya (sina ubaya nawe) Ah, ukinichukiaa (wani onea bure) Twendee nache, nache, nache, nache, nachie Huu mchezo wa kichina zungusha kiuno chako We kichina zungusha kiuno chako Kama shepu huna pambana na hali yako Kama huna pambana na hali yako Nasema Masha zungusha, we zungusha Sasa Wanjala zungusha, we zungusha Khadija Kopa zungusha, we zungusha Mama Dangote zungusha, we Zungusha Mama-ah-ah Ah, ah, ah We kama mzuka umepanda twende mpaka chini Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi Na kama mzuka umepanda twende mpaka chini Eti nani sijamtaja aje acheze na mimi Twende changamkeni, changamkeni, changamkeni Apo kati changamkeni, changamkeni, changamkeni Na kulia changamkeni, changamkeni, changamkeni Kuchoto changamkeni, changamkeni, changamkeni Mama-a-a-a-a-ah Twendee nache, nache, nache, nache, nacheza Nasema aii mama, aii mama, aii mama, aii mama Andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee Twende Mama, andaa besee, andaa besee, andaa besee, andaa besee Twende Utajijua mwenyewe Utajijua mwenyewe Utajijua mwenyewe Utajijua mwenyewe Kamix Lizer
Writer(s): Unknown Writer, Siraju Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out