Letras

Yoh Paroty, Vipi Oneboy Leo tutese bana Kabagazi, yoh, leo ni kufachua my friend (Its jegede on the beat) Leo niko out nimekuja kutesa Kesho siko job ni kulala fofofo Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza Usituone hivi hivi tumekuja na pesa Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa Kabagazi Ati leo ni na mbogi hatari Tena hatari niko na gari adi Kabagazi ako ganji Sina kinywaji waiter mtiaji Ah kidogo tu, kidogo tu Waiter amebeba trippin Is it me or my drink in pickin Sipping sipping am sipping Aiyaya, vulunu Peremende pombe yangu usiweke mchele Leo nameza hata kama ni tembe Ndio nilewe mpaka nibebwe Leo Niko out nimekuja kutesa Kesho siko job ni kulala fofofo Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza Usituone hivi hivi tumekuja na pesa Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa Mejja Leo lazima nipatikane (Okay) Na ka tusker ama cane Pewa chupa usilambe lambe Wapi chaser iko pande gani? Ng'ang'o, whiskey, hanjam hanjam mingi Mi nataka jo niteke toto Na msupa tulewe hadi kesho Shorts kamino, booti, voodoo Chapa toto ukimaliza keiyo Leo Niko out nimekuja kutesa Kesho siko job ni kulala fofofo Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza Usituone hivi hivi tumekuja na pesa Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa Sunguchula amekaa amekaa Kibakuli fiti fiti Sishindi mwana oshi sindi Aiyayaya amalwa Eeeh mchunge dem wako bwana Naeza mchapa hadi kesho mchana Kako tipsy bado nakaongeza shada Mi nipe Whiskey DJ cheza tu mabanger Peremende pombe yangu usiweke mchele Leo nameza hata kama ni tembe Ndio nilewe mpaka nibebwe Leo Niko out nimekuja kutesa Kesho siko job ni kulala fofofo Waiter leta drinks tunakunywa kumaliza Usituone hivi hivi tumekuja na pesa Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa (Na si ulewe tu) Pewa lewa
Writer(s): Merrick Owino Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out