Letras

Hey hey Oh, baby Teddy B No-ooh Tam-tarara, tam-tam, yay Oh, baby Tam-tarara, tam-tam Mi' nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (Aah) Mume wangu, baba ya watoto wangu (Aah) Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (Aah) Mshikaji wangu wa maisha Oh, baby, I love you (Aah) And for you Ninabadili mienendo yangu, baba Baby, for you Ninaukimbia ujana mama, eeh (Yay, yay) Nijenge boma nawe (Nawe) Nizae watoto nawe (Nawe) Niwalee pamoja nawe (Nawe) Nizeeke pamoja nawe (Nawe) Nataka nijenge boma nawe (Nawe) Nizae watoto nawe (Nawe) Niwalee pamoja nawe (Nawe) Nizeeke pamoja nawe (Nawe) Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah) Na kwenye madhabahu unavong'aa Unavopendeza kwenye 'lo rinda Oh, baby, I knew you're the one for me Oh, baby, you're the one for me I can tell the way you smile, the way you laugh The way you talk, the way you walk Baby, you're the one for me I swear you're the one for me And for you Ninabadili mienendo yangu, mama Baby, for you Ninaukimbia ujana wangu (Yeah, yeah) Nijenge boma nawe (Nawe) Nizae watoto nawe (Nawe) Niwalee pamoja nawe (Nawe) Nizeeke pamoja nawe (Nawe) Nataka nijenge boma nawe (Nawe) Nizae watoto nawe (Nawe) Niwalee pamoja nawe (Nawe) Nizeeke pamoja nawe (Nawe) Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah) Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah) Otile Brown Na Sanaipei
Writer(s): Irakoze Weizmann Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out