Vídeo musical

Vídeo musical

Créditos

COMPOSITION & LYRICS
Bethuel K. Lasoi
Bethuel K. Lasoi
Songwriter

Letras

Kando ya bahari
Kwenye bustani
Pali patulivu
Waniongoza
Mawimbi majeruhi
Silaha ya adui
Siogopi
Ninaye Mungu
Upendo wanizingira
Uwepo umenivisha
Wako eeh Yesu
Macho yangu yakutazama
Ninakusifu milele
Nasfi yangu yakulilia
Ninakusifu milele
Ooh ooh
Ooh ooh
Kama mvua kwenye nchi kavu
We wahuisha, moyo wangu
Kwa utulivu wako
Kama mvua kwenye nchi kavu
We wahuisha, nafsi wangu
Kwa utulivu wako
Written by: Bethuel K. Lasoi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...