Letras

Chozi la furaha Mpaka nashangaa Linanitokaa Mmmh, ndugu ndugu kifuani Lilonisumbua mimi Linanitoka Kwani hisia ziliniumiza Kwenye moyo wangu Nabaki nalia, nalia oooh aah Mchana niliona kiza Eeh Mola wangu Mapenzi balaa, ooh ah... Nilipiga magoti Nikaota sugu kwenye miguu Kubembeleza mapenzi Nikamhonga honga Nikatoa pesa kwenye vibubu Ninakopenda sipendwi Nishaumwa na nyoka Mwenzako naogopa majani Nisije nikakupa moyo wangu Ukaeka rehani Usinijaribu(Ooh wee eeh) Danganya toto sitaki Usinijari-ii, usinijaribu Usinijaribu(Ooh wee eeh) Danganya toto sitaki Usinijari-ii, usinijaribu Usini petipeti Nikazama mazima Nikashindwa kutoka Mwisho ukaniacha nalia Usinidanganye Usinichanganye Unifanye kilema wa mapenzi Magongo uyashike weee Nijibane bane(aiya) Furaha upate wee(aiya) Unifanye ka fisi mifupa Minyama unakula wee Nilipiga magoti Nikaota sugu kwenye miguu Kubembeleza mapenzi Nikamhonga honga Nikatoa pesa kwenye vibubu Ninakopenda sipendwi Nishaumwa na nyoka Mwenzako naogopa majani Nisije nikakupa moyo wangu Ukaeka rehani Usinijaribu(Ooh wee eeh) Danganya toto sitaki Usinijari-ii, usinijaribu Usinijaribu(Ooh wee eeh) Danganya toto sitaki Usinijari-ii, usinijaribu
Writer(s): Aslay Nassoro Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out