Vídeo musical

Diamond Platnumz – OKA LYRICS Ft Mbosso
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Presentada en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Songwriter
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Nusder Venom
Nusder Venom
Producer

Letras

Ashi ashika ashi le general dangote Ashi ashika ashi kirungi bin shedede Kananipa mambo ya pwani hadi napandisha mazyiii Dozi kitandani hadi nazimika Ziii Ooh haniti chibu anakatisha Chiii Ka nyakanga mwali anavyokatika Jamani ale ale ale (Alele) Alelele (Alele) ooh ale (Alele) Alelele (Alele) Asa oka okaka Oka okaka Oka okaka Oka okaka Baby ooh Umenifanya nini mi mwana wa mwenzio Maana kwako sioni umenifunga na sikio Ukinishika hapa (Utamu) Ukinigusa huku (Utamu) Ukinichumu mimi (Utamu) Ukinibusubusu jamani Oka okaka Oka okaka Oka okaka Oka okaka Kama konokono mwenda pole Kwenye mchanga Nakupa mkono wa kongole Baby we mwamba Hesabu za kukokotoa Umenifunza wewe Waniamisha mikoa Bumbuli kwa ukerewe Ooh mapenzi ni kinywaji soft baridi Wananuna mwenzao nikifaidi Ooh malezi amerithi upande wa bibi Mwali nyuma kama mlima itigi Oka okaka Oka okaka Oka okaka Oka okaka Usizidishe chumvi ntapa safura Nimeambiwa juzi unachezaga chura Asa Chura (Anarukaruka) Chura (Anajumpjump) Chura ooh ooh (Anarukatuka) Jamani chura (Anajumpjump) Adede adede adede adede adede yiih Adede adede adede adede fagilia waaah Eeeh fagilia waah Kusemasema kando hayo mambo ya kinafki Kama wayaweza mambo kuja uoneshe kati Chura (Anarukaruka) chura (Anajumpjump) Ooh chura (Anarukatuka) chura (Anajumpjump) Adede adede adede adede adede yiih Adede adede adede adede fagilia Waaah Eeeh fagilia waah Inde inde inde baby inde Inde inde inde nione inde Inde inde inde baby inde Asa Inde inde inde nione inde Huyo mtoto (Anabalaa) mtoto (Anakusudi) Muone mtoto (Anabalaa) mtoto (Anakusudi) Ooh anasifa (Anabalaa) sifa za makusudi (Anakusudi) Mwana anajibingirita(Anabalaa) kifudifudi (Anakusudi)
Writer(s): Nasibu Abdul Juma Issaack, Mbwana Yusuph Kilungi, Venance Conrald Bedder Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out