Letras

Lucky me lucky me oooh lucky me×3 Lucky me, lucky meeee Ni pumzi ya uwezi ya kupeza Tenda baba inavyokupendeza Nanena uwezo zaidi ya muweza ndugu zetu wengi tushawapoteza aaa My lord Lucky me Majaribu nayashinda Ni uwezo wa muumba Wanadamu hawana tiba Hamna kitu wataziba Tutaanguka, tutasimama tena Tukiamka, tunashikana vyema Kama ni vita kwetu bado mapema (bado mapemaaaa) Lucky me, lucky me ooooh lucky me×3 Lucky me, lucky meeeee ooooohhh Kazin nipewa lidandasi Kwa mola bado nina nafasi Mtaani kuna ubinafsi Hawataki kutoa kazi Kwa mola bado nina nafasi Lord lucky me Lucky meeeee Marafiki watapita, starehe zitanipita fashion zitanipita mola bado atanishika Tutaanguka, tutasimama tena Tukiamka, tunashikana vyema Kama ni vita, kwetu bado mapema bado mapemaaaa aa Lucky me, lucky me oooo lucky me×3 Lucky me, lucky meee ooooh lucky me ooooh ooooh lucky me×
Writer(s): Ronald Mack Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out