Letras

Mhh mhh aah aah 1: kugombana si suluhisho muhimu tuongee kuna leo na kesho chuki Usiniwekee umenipa mzigo mzito nashindwa kubeba unanielemea naambulia Mateso sijui lini nafsi itatulia zile kauli chafu na vipigo Vyote nisamehe mimi kwako si mzigo penzi liendelee ooh liendelee0 BRIDGE: Hivi ni kweli hutaki hata nitazama na kuniona Kabisa mwenzako nimemiss penzi la jana lenye amani na furaha Oh baby Tuongee tuongee tuongee Tofauti tumalize mi ma we mi na wewe ×2 2: Ulinivumilia mengi nilikukosea machozi ukanimwagia sikujali Ulipoumia magoti nakupigia nimekosa wangu malkia nishakoma Sitarudia unatoa kopa unaweka shoka yenye ukali eti umechoshwa BRIDGE: Hivi ni kweli hutaki hata nitazama na kuniona Kabisa mwenzako nimemiss penzi la jana lenye amani na furaha Oh baby Tuongee tuongee tuongee Tofauti tumalize mi ma we mi na wewe ×2
Writer(s): Joel, Joseph Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out