Letras

Penzi gani la kushare Hadhrani la teketea Ila we you don't care Ila we you don't care Yani nakosa Amani Nyumbani hatuelewani Unadate nakina nanii Na unajionyesha Sina habari na we Ni bora niseme Eeh bhana mi sielewi Eeh bhana mi sielewi Sina habari na we Ni bora niseme Eeh bhana mi sielewi Eeh bhana mi sielewi Sepa sepa sepa Moyo umeutesa sana inatosha Sepa sepa sepa sepa sepa Wouh Sepa sepa sepa Moyo umeutesa sana inatosha Sepa sepa sepa sepa sepa Wouh yeah Zunguka magharibi kusini Kote hutopata kama mi Amini kwamba Amini kwamba Uligeuka mkoloni Kitanzi shingoni Ya allah b Ya allah b Hivyo hivyo nami nitapata Penzi sio naleta utata Mi mwenzio nimechapa lapa Oh no Sina habari na we Ni bora niseme Eeh bhana mi sielewi Eeh bhana mi sielewi Sina habari na we Ni bora niseme Eeh bhana mi sielewi Eeh bhana mi sielewi Sepa sepa sepa Moyo umeutesa sana inatosha Sepa sepa sepa sepa sepa Wouh Sepa sepa sepa Moyo umeutesa sana inatosha Sepa sepa sepa sepa sepa Wouh
Writer(s): Ibrahim Mzonge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out