Créditos
PERFORMING ARTISTS
Dayoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Batazari Romani
Composer
Letras
Yoo
Say naitwa mali
Ooh yaah
Ehee
My i eeh eeh
Olalaeehee
Alinipenda nikiwa tingo
Kabla sijatowa singo
Naungaunga mwana mtani
Leo nime shinda
Bingo
Mastar wa TikTok
Mmh kule wanatega mingo
Na massage zaunasoma nahaki
Namtungia na wimbo
Alinionyesha true love
Mpaka wayback
Mpaka leo tunapeta
Ezi hizo zaki checheidaeeh
Mpaka leo tunatesa
Alinionyesha true love
Toka wayback
Mpaka leo tuna peta
Enzi hizo zaki cheicheidaeeh
Mpaka leo tunatesa
Nimi nabana aah mmh huu haa haa haa
Moyo huna nipasuka hila
Eeh unaenda resi yaii eeh
Aah aah mmh huu haa haa
Moyo una dunda dunda ma kama kitenesi
Jama aayee eeh
Mmmh
Kweli nimepata demu yani wewe
Uliniachisha mpaka ukiwembe
Misigara mipombe
Yani wewe
Ulini tenganisha navi genge
Ndomana mwezio niki kuonaeeh
Moyo wangu
Una nundapaa paa paaah
Hamini nikikuona eeh
Moyo wangu
Huna pwitapaa
Alinionyesha true love
Toka wayback
Mpaka leo tuna peta
Enzi hizo zaki cheicheidaeeh
Mpaka leo tunatesa
Alinionyesha true love
Toka wayback
Mpaka leo tuna peta
Enzi hizo zaki cheicheidaeeh
Mpaka leo tunatesa
Nimi nabana aah mmh huu haa haa haa
Moyo huna nipasuka hila
Eeh unaenda resi yaii eeh
Aah aah mmh huu haa haa
Moyo una dunda dunda ma kama kitenesi
Jama aayee eeh
Writer(s): Batazari Romani
Lyrics powered by www.musixmatch.com