Letras

(Madness) Uh-huh (Ssaru) uh-huh, mhm (Murder) (Black Market Records) Ati, chemichemi za uongo Story za jaba, ndio utingize ubongo Ndio ubebe, ka' walleti za kamongo Bari-bari-barabara bana maringo (ringo) Niko na pesa kushinda babako Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie) Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe) Kaskie vibaya huko kwenu Uh, niko na pesa na ni za babako Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie) Kaskie vibaya huko kwenu Kaskie vibaya huko kwenu Uh Nilifika jiji nkakutana na budako Akaniambia ka ni vako Hapendangi za mamako (how?) Kisirisiri, tukakutana kwako Ni click-click-bang tu juu ya kitanda chako Uh, hamna Hela ni nyi mnateseka Nini unalipa madeni na pochi yako Miaka ni ishirini huko chini sitini, na Mneti unatuvunjia mgongo Ulinipa ka chance na nikapita nako Uliponipiga intro siku ya introduction Anani finance na school fees zako Alinipeanga info kwanza ye' si babako Unapenda wababa Huonei watoto wako huruma? One-shot Na kwani hupendi utamu wa nduma? Pesa hukutekenya-tekenya sana We' rudi ukakune wababa wa Duruma Niko na pesa kushinda babako Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie) Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe) Kaskie vibaya huko kwenu Uh, niko na pesa na ni za babako Kaskie vibaya huko kwenu Kaskie vibaya huko kwenu Kaskie vibaya huko kwenu Najua unaskia vibaya Mi vibaya? Eeh, vibaya Nenda zako Si naenda kwenu Kwetu wapi? Kwa babako Mi si kutusi lakini, kudadadeki Sikudharau, lakini we hudunga ndula feki Uso marangi, uko sure hauniseti? Cake 'n' bake, ni quality za Fenty Ati, chemichemi za uongo Story za jaba, ndio utingize ubongo Ndio ubebe, ka walleti za kamongo Bari-bari-barabara bana maringo (ringo) Niko na pesa kushinda babako Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie) Kaskie vibaya huko kwenu (aii, wewe) Kaskie vibaya huko kwenu Uh, niko na pesa na ni za babako Kaskie vibaya huko kwenu (kaskie, kaskie) Kaskie vibaya huko kwenu Kaskie vibaya huko kwenu Madness (Madness)
Writer(s): Alvin Handro, Father Moh, Ssa Ru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out