Vídeo musical

Letras

Utapanda na kushuka na watu kunitumia Utapanda na kushuka na watu kunitumia Bure utafedheheka na aibu kujitia Bure utafedheheka na aibu kujitia Najuwa najuwa unanitaka moyoni Moyoni unaumia Najuwa najuwa unanitaka moyoni Moyoni unaumia Ukweli wangu hakika Ukweli wangu hakika Ukweli wangu hakika Wewe hujanivutia Acha wee Acha wee Acha wee Suti gani nazo za kuazimisha Acha wee Acha wee Acha wee Nayako mabobish yananichekesha Acha wee Acha wee Acha wee Huishi mitaani unajitakisha Acha wee Acha wee Acha wee Akutake nani kumkorofisha Unakoroga najua, nawatu wameshakushuku Unakoroga najua, nawatu wameshakushuku Bure unajisumbua, kujivunjia sharafu Bure unajisumbua, kujivunjia sharafu Yuko yuko anaeniuwa Mwenye mwenye njema insafu Aaah Yuko yuko anaeniuwa Mwenye mwenye njema insafu Roho anaenitoa Roho anaenitoa Roho anaenitoa Roho anaenitoa Kwake yeye hufui dafu Acha wee Acha wee Acha wee Suti gani nazo za kuazimisha Acha wee Acha wee Acha wee Nayako mabobish yananichekesha Acha wee Acha wee Acha wee Huishi mitaani unajitakisha Acha wee Acha wee Acha wee Akutake nani kumkorofisha Bure unajivalisha masuti yenye thamani Bure unajivalisha masuti yenye thamani Nyengine waazimisha kurandia mitaani Nyengine waazimisha kurandia mitaani Hima Hima unajitakisha Asubuhi asubuhi na jioni Hima Hima unajitakisha Asubuhi asubuhi na jioni Ni kachara umekwisha Ni kachara umekwisha Ni kachara umekwisha Ni kachara umekwisha Hunifai asilani Acha wee Acha wee Acha wee Suti gani nazo za kuazimisha Acha wee Acha wee Acha wee Nayako mabobish yananichekesha Acha wee Acha wee Acha wee Huishi mitaani unajitakisha Acha wee Acha wee Acha wee Akutake nani kumkorofisha Mimi ninaemtaka sharti awe dogodogo Mimi ninaemtaka sharti awe dogodogo Anotizamika na fedha japo kidogoo Anotizamika na fedha japo kidogoo Huniwezi huniwezi si dhihaka Huiwezi huiwezi mititigo Huniwezi huniwezi si dhihaka Huiwezi huiwezi mititigo Usinivishe cha ukoka Usinivishe cha ukoka Usinivishe cha ukoka Usinivishe cha ukoka Kilemba bwana mdogo Acha wee Acha wee Acha wee Suti gani nazo za kuazimisha Acha wee Acha wee Acha wee Nayako mabobish yananichekesha Acha wee Acha wee Acha wee Huishi mitaani unajitakisha Acha wee Acha wee Acha wee Akutake nani kumkorofisha
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out