Letras

Aaaaah aaaah Eleleeee Hhhmmm Kwanza shikamoo mapenzi Utamu wako naujuaga mwenyewe Kwenda less mi siwezi Usiniburuze ukaniacha mwenyewe Nimepata mwandani wangu Ndagafijo Kichale cha moyo wangu Aaaaah Aaaaah Uwanjani kumenoga mapambo Na doti za vitenge nikamtunze somo Longo longoo (longolongo) Tuzifungie pembeni Mama mwali yu wapi Aje tulisakate ngomaa Zile ngo ngo ngo (ngongongo) Zimepata funga semi Nitoe kimasomaso Zikome zao nongwaaa Aaaaah baby eeeh Washa washa (nione raha) Washa (tuyazike maneno) Washa washa (wajikunie pembeni) Wapate habari hata Kama hawana bundle Washa washa (yamekua) Washa (Leo ndio Leo) Washa washa (wajikunie pembeni) Mmmmh hhhmmm Mapenzi bidhaa isoisha thamani Na makeke ya chumbani Kudamshi kitandani (burudaani) Zogo usiendekeze Wake ulimi peremende yani Ubani kuchota tia kwenye moto Yasije nitesa mazoea Moyo nikaja kuuchua Pingu ukazifungua Wapate la kuongea (majirani) Longo Longo (longolongo) Tuzifungie pembeni Mama mwali yu wapi Aje tulisakate ngoma Zile ngo ngo ngo Zimepata fungasemi Nitoe kimasomaso Zikome zao nongwa Aaaaah baby eeeehh Washa washa (nione raha) Washa (tuyazike maneno) Washa washa (wajikunie pembeni) Wapate habari hata kama Hawana bundle Washa washa (yamekua) Washa (Leo ndio Leo) Washa washa (wajikunie pembeni) Nishike nganganga Usije kuchomoka (doze dozee) Aaaaah aaah (doze dozeee) Ooooh Habib (doze doze) Chunga na ulimi Usije kunikata (doze doze) Aaaaah aaaaah (doze doze) Hhhhm hhhmm (doze dozeee) Oooooh baby eeeeh
Writer(s): Karen Habash Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out