Vídeo musical

Paul Clement - Amefanya Mungu ( Official Video ) SMS SKiza 9841777 to 811
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Presentada en

Créditos

COMPOSITION & LYRICS
PAUL CLEMENT
PAUL CLEMENT
Songwriter

Letras

DG Je ni nani angeweza Kututoa chini mavumbini Maana kila mtu alitukataa Ila Mungu akatukumbatia Je ni nani angeweza Kutuiua kutuweka juu Maana kila mtu alitukataa Ila Mungu akatuinua Je ni nani angeweza Kutupatia nafasi Maana kila mtu alikataa Ila Mungu akatupatia Hakuangalia elimu zetu Hakuangalia mionekano yetu Aliangalia mioyo yetu Kwake tukapata kibali Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh) Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh) Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi) Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh) Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh) Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh) Haikuwa rahisi kwa akili zetu (rahisi) Amefanya Mungu amefanya (eh-eh-eh-eh-eh) Je ni nani angeweza Kutukubali jinsi tulivyo Maana kila mtu alitukataa Ila Mungu akatukubali Si elimu zetu Si ujuzi wetu Ila neema yake 'metuweka hapa Haikuwa rahisi Eh, vile namna neema yako inafanya Hakuna elimu inaweza fanya Hata kama ikishindana (hata kama ikishindana) Hata kama ikipambana (hata kama ikipambana) Neema yako itashinda Hakuangalia elimu zetu Hakuangalia mionekano yetu Aliangalia mioyo yetu Kwake tukapata kibali Amefanya, oh yeah (amefanya Mungu amefanya) Amefanya, Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya) Haikuwa rahisi, rahisi(haikuwa rahisi kwa akili zetu) Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya) Amefanya (amefanya Mungu amefanya) Ni yeye tu (amefanya Mungu amefanya) Si mwanadamu, si mwanadamu (haikuwa rahisi kwa akili zetu) Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya) Haikuwa rahisi oh-oh-oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu) Amefanya Mungu (amefanya Mungu amefanya) Haikuwa rahisi eh-eh-eh oh-oh-oh (haikuwa rahisi kwa akili zetu) Mungu amefanya (amefanya Mungu amefanya) Mh-mh Oh na-na Oh la-la Le-la Ne-na
Writer(s): Paul Clement Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out