Vídeo musical

Usilie (feat. Banana Zoro)
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Presentada en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Songwriter

Letras

Christian Bella asubuhi imefika Saa kumi na mbili, jogoo ameshawika, kokoliko kokoo Kokoliko wowo, yaweh Wafanyakazi wanaenda maofisini Wauza sokoni, wanaenda soko kuuza Watoto wa shuleni nao wameshapendeza Wanaenda shuleni kutengeneza maisha ya kesho Prépare le demain, demain, demain ye, ye Wafanya biashara wanaenda biasharani Wajanja mitaani, wanasukuma mikokoteni Mimi maskini niende wapi? Nianze wapi? Nitamalizia wapi? Kazi sina, deal yoyote mimi sina (kaza moyo) Natoka asubuhi, narudi usiku bila kitu we Apechalala ndefu mifukoni every day Sisi masikini twende wapi? Tuanze wapi? Tutamalizia wapi? Kazi hatuna, deal yoyote sisi hatuna Waliopata kwani walishika kazi ya Mungu Mola Baba sikia kilio chetu, oh oh yahwe yala (yala yalala) ya Rabbit Oh, oh papa na ngai zua nao lokumu le Dieu, le créateur Tabu na shida kila siku mimi (mimi) Tabasamu lini utanipitia jamani (jamani) Maisha yangu kila siku kulia Bella sikia (oh oh, eyi eyi ye, oh, oh) Mitihani ni mingi usivunjike moyo Matatizo yana mwisho wake Oh yeah, kwanini we hujiamini? Kama Musa alivuka bahari kwa fimbo na imani, wewe ni nani? Hata kama wanasema zamani ulikuwa nyani Oh eh, jiamini, le-le-le Usilie Kaza moyo Usilie Kaza moyo Usilie Najiuliza sana? (sana) kwani mimi Bella? Hapa duniani? Nilikuja kusindikiza tu wenzangu (jikaze Bella) Wale tulisoma nao (nao) Tulikuwa nao, wanaishi vizuri na familia zao Kosa langu ni nini nisilosamehewa? Mola Baba nionyeshe hata ndotoni Nisali kwa lugha gani? Nielekee wapi? Kama dini nimeshabadilisha mpaka basi Naona kama maombi hayafiki kwa Mungu baba Waliopata kwani walisalimiana na Mungu? Usilie Na mimi sintokata tamaa (kaza moyo) Najua kuna siku nitapata (ni kweli) Ugumu wa maisha ni kipimo cha akili (cha akili) Christian Bella analia (analia) Alle Mapigo analia (analia) le-le-le-le Usilie Kaza moyo Usilie Kaza moyo Christian Bella usilie Usilie mpaka Mapigo akusikie Hapo ulipo we usiumie Usiumie kila mtu mpaka akusikie Mwanamume analia kama simba Ndani ya moyo, peke yake usiku wa manane Manane, manane, sio saa nane mchana
Writer(s): Christian Bope Bella Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out