Letras

Only you bebi Only you bebi You're my only one My only one bebi Some say a fool never changed his mind Well may be Baby I'm a fool for you Mapenzi kipofu ukipenda maovu huoni Ooh love is blind never seem so true When I'm broke natumianga bro Please call me Akipiga naomba dooh Mbona kuna message Inajitumanga send me money Tukate long story short yoyooo Vumilia na mimi, please don't leave me Don't let money the fool you Sponsors just wanna use you Namwambia mtoto wa mama asiharibikeee Ananishoo ni biasharaa tu Na siwezi mshibishaa na pangangaa tu Na mwezi ukiisha sina ujanja tu Na renti ikibishwa huanga blunder tu Bebi Bebi, kwani me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na we Bebi me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa tu Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka na we Only you bebi Only you bebi You're my only one My only one Girl I wanna, girl I wanna Girl I wanna take you to my mama Show her you're the one for me I'll never ever never ever leave you Believe me when I say You'll forever be my queen Yule nala naye kwa dhiki Ntala naye kwa faraja Ahadi yangu ndio hiyo Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa Wou vumilia na mimi Please don't leave me Don't let the money fool you Sponsors just wanna use you Mtoto wa mama usiharibike Bebi Bebi, kwani me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu Mi sitasahau mahali nimetoka na we Bebi, kwani me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu Mi sitasahau mahali nimetoka na we Only you bebi Mahali nimetoka na wewe Only you bebi Only you bebi You're my only one Okay sa naicheza ka bubu Baby no more talk just do Weh ni mtamu ka mabuyu Hujawai kuwa chini, uko juu Forever be my only one Tukiachana itaniuma na Najua kuna nigga anangoja nichome Aruke ndani ka superstar Usiache ihappen, ishikilie ka siri Ukimake it life then nishikilie pia mimi You make me whole Bebi Don't let me go stay beside me You make me go plead How will my heart beat without you Bebi Bebi, kwani me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu Mi sitasahau mahali nimetoka na we Bebi, kwani me wakati sina Leo sina kitu kesho ntafanikiwa Na nikibarikiwa ahadi yangu Mi sitasahau mahali nimetoka na we
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out