Vídeo musical

Zuchu - Chapati (Official Dance Video)
Mira el vídeo musical de {trackName} de {artistName}

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Zuchu
Zuchu
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Zuhura Othman Soud
Zuhura Othman Soud
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Mr. LG
Mr. LG
Producer

Letras

LG, aah LG Mr. LG Dullah, dullah, dullah Anataka kula Dullah hataki andazi, anataka kula Dullah hataki viazi, anataka kula Dullah, dullah, dullah anataka Basi kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Eh, kwani umeiweka nini mi naipenda? Kwani umeiweka nini mi naitaka hiyo? Kwani umeiweka nini mi naipenda? Kwani umeiweka nini mi naitaka? Inateleza, tamu inateleza Inateleza, tamu inateleza Basi kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti The mix killer
Writer(s): Zuhura Othman Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out