Letras

Unaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu La kukushinda Yesu Unaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu La kukushinda Yesu Bwana akamwambia Yeremia Nenda nyumbani kwa mfinyanzi Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo Kilichoharibika anakifinyanga tena Anakifinyanga tena jinsi apendavyo yeye Ndivyo ulivyo Wewe ni mfinyanzi Kilichoharibika unakifinyanga tena Unakifinyanga tena, unakifinyanga tena Jinsi upendavyo Wewe
Writer(s): Boaz Danken Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out