Créditos
PERFORMING ARTISTS
Ibraah
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Ibraah
Songwriter
Ibrahim Abdallah Nampunga
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Hunter
Producer
Letras
Ooh, baby nakupenda
(Young Legendary)
Kama hujaanza me nishaanza kwenda
Ooh, baby nishakuwe, kuwe, wa-wa-wa-wa
Oh, yeah, oh
Ah, baby, baby
Sogea karibu nikunong'oneze sweet
You look so fine
Ungekuwa nguo ningevaa nipendeze cute
Baby, wewe ndio changu kidege
Umenikamata sifurukuti
Baby, wewe, eh
Changu chako, chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa mguu aibu baby
Hata wakisema waambie
We' ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
Me napenda ukisema
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti una enjoy tamu tamu
(Nikushike hapa hapa, hapa na hapa)
Ah, baby
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti ni tamu tamu una enjoy
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Hapa, ha-pa
Eh, kiburi hakijengi baby
Na wala mapenzi hayaendeshwi kwa hasira
Nitaenda wapi baby
Kwako milembe unanipa tiba tahira
Sijui nikupendeje maana moyo
Unaona ushakupenda na ushamaliza
Wananiita bwege
Marafiki wanadai nakupenda kupitiliza, baby
Eti nakudekeza sana
Nakuendekeza sana, baby
Hata ndugu na jamaa
Wanasema umenipa cha undani
Changu chako, chako changu
Unanibana pete tamu yangu
Kwani hujui we ndio msiri wangu
Unanitembeza kwenye tope
Kwa nguu aibu baby
Hata wakisema waambie
We' ndio kiboko ya mimi
I swear unanikosha bibie
Mwenzako nimekula yamini
Me napenda ukisema
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti una enjoy tamu tamu
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Ah, baby
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti ni tamu tamu unaenjoy
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Me napenda ukisema
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti una enjoy tamu tamu
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Ah, baby
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Eti ni tamu tamu una enjoy
(Nikushike hapa, hapa, hapa na hapa)
Hapa, ha-pa
Hapa, hapa na hapa
Chinga
(The Mix Killer)
Konde Music Worldwide
Writer(s): Ibrahim Abdallah Nampunga
Lyrics powered by www.musixmatch.com