Vídeo musical
Canciones más populares de Boney M.
Créditos
COMPOSITION & LYRICS
Traditional Swahili
Songwriter
Frank Farian
Adapter
George Reyam
Adapter
PRODUCTION & ENGINEERING
Frank Farian
Producer
Letras
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesaa! Zasumbua roho yangu
Pesaa! Zasumbua roho yangu
Ningekuoa mali wee!
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina wee!
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina wee!
Ningekuoa malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Wimbo wimbo wimbo
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Writer(s): Traditional, Guenther Widemair
Lyrics powered by www.musixmatch.com