Vídeo musical

Presentada en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Upendo Nkone
Upendo Nkone
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Upendo Nkone
Upendo Nkone
Songwriter

Letras

Nimefanya uchunguzi Nimegundua Yesu ni mwamba Msaada wa karibu Tena nguvu ya wenye haki Ana upendo na watu wake Baraka zote ziko kwake Niende wapi niyapate mema Siitaki kwenda kwa mwingine Yesu wangu Mimi nakuja kwako Wengine wamekua ni wezi Na wengine ni makahaba Wako pia majambazi Eh Mungu waokoe Sitaki kufanya maovu hayo Baba yangu nimeona Nije kwako Nihurumie mwamba Wako waendao kuzimu Ili kupata mafanikio Watumishi wengine nao wategemea nguvu za mapepo Siutaki msaada wa mapepo Yesu wangu nautaka msaada wako Uniwezeshe Yesu Hata kama utakawia Nitazidi kuvumilia Ninayo imani moyoni Siku moja utanikumbuka Hee. kwa nini nitende dhambi kubwa Namna hii nikukosee Mungu wangu Uniepushe Baba yangu
Writer(s): Upendo Nkone Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out