album cover
Single
74
Music
Single fue publicado el 23 de agosto de 2026 por Mavooo como parte del álbum Single - Single
album cover
Fecha de lanzamiento23 de agosto de 2026
SelloMavooo
Melodicidad
Acústico
Valence
Bailabilidad
Energía
BPM

Créditos

Letras

Kama ingekua
Kupostiana ndo mapenzi
Minisingeachwa
Nisingeachika mwenzenu
Kama ingekuaa
Kupostiana ndo mapenzi
Minisingeachwa
Nisingeachika mwenzenu
Unalipenda jitu halupendeki
Unalitaka halikutaki
Unalipa kilankitu
Halilidhiki
Mapenzi kudadadeki
Minimeona bora tu niwe single
Nikanywe pombe na wanangu
Kulia lia kwenye mapenzi
Mwenzenu sio vitu vyangu
Nimezoea kubembelezwa mie
Nimezoea raha mie
Nimezoea kudekezwa mie
Nimezoea raha mie
Minimeona bora tu niwe single
Nikanywe pombe na wanangu
Kulia lia kwenye mapenzi
Mwenzenu sio fungu langu
Nimezoea kubembelezwa mie
Nimezoea raha mie
Nimezoea kudekezwa mie
Nimezoea raha mie
Simu nimemuonga mie
Lakini anaweza asinipigie
Bando na muungamie
Lakini hata goodnigh asinitukie
Simu nimemuungamie
Lakini anaweza asinipigie
Bando namuungamie
Lakini hata goodnigh asinitumie
Sasa ndo mapenzi gani haya
Sibora niwe peke yangu
Mapenzi gani hayana furaha
Si bora niwe peke yangu
Unalipenda jitu halupendeki
Unalitaka halikutaki
Unalipa kilankitu
Halilidhiki
Mapenzi kudadadeki
Minimeona bora tu niwe single
Nikanywe pombe na wanangu
Kulia lia kwenye mapenzi
Mwenzenu sio vitu vyangu
Nimezoea kubembelezwa mie
Nimezoea raha mie
Nimezoea kudekezwa mie
Nimezoea raha mie
Minimeona bora tu niwe single
Nikanywe pombe na wanangu
Kulia lia kwenye mapenzi
Mwenzenu sio fungu langu
Nimezoea kubembelezwa mie
Nimezoea raha mie
Nimezoea kudekezwa mie
Nimezoea raha mie
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...