Letra

Nimechoka mateso Nimechoka tabu Baba Mungu naja kwako Nibariki na mimi Kila siku taabu Kila siku kilio Machozi na huzuni baaba Wenzangu wananicheka Nipitapo kwenye taabu Baba naja kwako Nibariki na mimi Nimechoka kutamani vitu vizuri vya wenzangu Nami nakuja kwako Nibariki na mimi Ikiwa ni laana Ikiwa ni mikosi Ilikwisha msalabani baaba Neno lako linasema Niite nitaitika Nami nakuita bwana Nibariki na mimi Nibariki, nibariki, nibariki Bwana Nibariki, nibariki uniguse bwana Majirani wananishanga Wengine wananichekaa Eti kwasababu ya shida mimi Nimekua kituko nikipita kwa wenzangu Nimekua kichekesho mimi Watoto wangu wana shida Ndugu zangu wantaabu Yesu nakuja kwako Nikumbuke bwana Nami nimekuamini Nami nakungojea Kwako nanyenyekea Nibariki na mimi Nimechoka mateso baba Nimechoka kilio Nimechoka taabu Nibariki bwana Nibariki, nibarik,i nibariki Bwana Nibariki, nibariki uniguse Bwana Nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) Bwana Nibariki (e le le baba) nibariki (nibariki) uniguse (baba) Bwana (Nakuja kwako) nibariki (na inua mikono) nibariki (na inua mikono) Bwana (Baba nibariki nami) nibariki (nibariki) nibariki (nibariki) Nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana (Nime tchoka mateso) nibariki (nibariki) nibariki (Nibariki) nibariki (nibariki) nibariki Bwana Nibariki (nibariki) nibariki (nibariki baba) uniguse Bwana (A unikumbuke namimi) nibariki (nibariki baba) (nibariki) (Nibariki Jehovah) nibariki 'halleluay) Bwana Nibariki (halleluiay) nibariki ((halleluiyah)) uniguse (uniguse) Bwana (Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki bwana (nime tchoka nibariki) Nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana Halleluiyah Nikifika Kanisani, najiuliza mara mbili, sadaka nitatoa nini? mimi Wenzangu wainukapo, waelekea madhabauni Namimi najibarafu zangu sina cha kukupa Baba nakuja kwako, msalabani nainama, Macho yangu nainua, nibariki Bwana Ikiwa ni laana, ikiwa ni mikosi, ilikwisha msalabani, nikumbuke Bwana Nikumbuke, nikumbuke, nikumbuke Baba Nikumbuke, nikumbuke nibariki namimi Naamka asubuhi, naamka asubuhi Alfajiri na mapema, naenda niendako Natafuta riziki, mtchana Kutwa wa juakali Mvua ndio kivuli changu Baba Nimesikia ya kwamba ulimbariki Sarah Baba nakuja kwako nibariki namimi Nimesikia tenalLeo ulimbariki Abrahamu Nami nimekuja kwako nibariki Bwana Nimechoka masimango, nimechoka manyanyaso, nimechoka kuonewa Naja Kwako Bwana Nibariki, nibariki, nibariki Bwana Nibariki, nibariki, nibariki uniguse bwana Nibariki, nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) Bwana Nibariki (halleluiyah) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana (Hayo) nibariki (nibariki baba) nibariki (nibariki) nibariki Bwana (Unikumbuke baba) nibariki (nibariki) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana (Yelele baba) nibariki (yelele baba), nibariki (nibariki) nibariki Bwana (Halleluiyah) nibariki, nibariki uniguse Bwana (Nibariki na mimi Bwana) nibariki (nibariki baba) nibariki (Nibariki na mimi) nibariki (halleluiyah) nibariki Bwana (Halleluyah nikumbu baba) nibariki (nikumbuke baba) nibariki uniguse Bwana (Nitembeleye Bwana) nibariki (nibariki nami) nibariki (niguse Bwana) nibariki Bwana (Niguse namimi) nibariki (niguse baba) nibariki (halleluiyah) uniguse Bwana
Writer(s): Rose Muhando Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out