Letra

Nakumbuka chali mmoja akinikatia My dear you know that you are my number one Sikujua kulikuwa na number two, number three and number four Siku hizi ninasikia wakisema ni bwana wa watu, baba watoto sita Lakini game yake haijakatika no... Juzi nilimuona kilabu Nairobi na ndogondogo miaka yake ishirini eh Tabia ni zile zile... Still a liar... You're just a little older Miaka sio shida Sugar daddy liar Dunia ina mambo Mbona mzee hutulii nyumbani kwako Usome gazeti Ule chakula cha mkewe au Ukapewe na wazee wenzako woh Vunja mifupa kama meno bado iko Ooh lakini kufukuzana na watoto ehh Acheni aibu ndogo ndogo ooh Mpaka achoke mpaka aseme game shoti My sister usijienjoy eeh Tabia ni zilezile... Still a liar... You're just a little older Miaka sio shida Sugar daddy liar Still a liar... You're just a little older Still a liar... Miaka sio shida Still a liar... Sugar daddy liar Still a liar... Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia Mwenye heshima ya watu wote eeh My dear usiwachilie eeh Eh eh, ukipata anayekupenda, shikilia shikilia Mwenye tabia za kupendeza, shikilia shikilia Mwenye heshima ya watu wote eeh My dear usiwachilie eeh Na mikono yote, shikilia Usiwachilie, shikilia Usiteleze, shikilia dada Shikilia wewe, shikilia Na mikono yote, shikilia Usiachilie, shikilia Usiteleze, dada shikilia wewe, shikilia Still a liar... You're just a little older Still a liar... Miaka sio shida Still a liar...
Writer(s): Rosemary Wahu Kagwi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out