Video musical

Nitagharamia (Kovu Challenge 2019)
Mira el video musical de {trackName} de {artistName}

Incluido en

Créditos

COMPOSITION & LYRICS
Lex Karema
Lex Karema
Songwriter

Letra

Ni Karema Hapa Nimeskia kengele nikakam mbio Kijiko kiko hapa Never ever late for supper I'm giving you My Best while I'm still here Feeling in my chest I have no fear Panda shuka zote nitavumilia Cost ya Muziki nitagaramia Hello there Salamu kwanza courtesy I'm new here Mwanangu nina energy, Nuclear Jina langu lina legacy, Oh Dear Lord Kujeni mcheki visanga za rapper mnoma Hadi homa amepona amenona ameshona amesoma mpishi kwa corner Utapenda aroma, ni guest of honor I shoot to kill now I get what I want I have the know how My rhyme scheme will make you go wow! This is Kenyan made? Bow down I'm giving you My Best while I'm still here Feeling in my chest I have no fear Panda shuka zote nitavumilia Cost ya Muziki nitagaramia Na kwani ni nini kikusikitisacho Nikikula kwa mdomo wakula kwa macho Na kumbe wewe umekuwa kikulacho Unataka chote chema mimi niko nacho I care that you think I don't belong here But then again I don't Care Fahamu wenye wivu watanyenyekea When you bring the heat wanateketea Nimekam Nimekam, Niko full tank na kwanza hata nimehepa jam so Nawapita nyote Mliodhani mko mbele ya wote Nishuku kama Huduma number Coz you never know Ibilisi wa mtu ni mtu Man You never know I'm giving you My Best while I'm still here Feeling in my chest I have no fear Panda shuka zote nitavumilia Cost ya Muziki nitagaramia Hii story ni ya new King History in the making I'm out here trying to make it Have some fun I don't fake it Coz they be killing us Out in the streets in the open unaskia Before useme Youth ni Wakora Si Votes zilienda na Wakora Anyway I'm a lyricist I resist anything that isn't part me, who would you rather be I would rather be me, than be caught dead sagging looking like a gangster wannabe No apologies Kaa we ni m-ill me ni Remedy Unadhani me ni beshte me ni enemy Be afraid of me, hizi vitu hawafunzi kwa academy Huyo boy ni mtanashati Ukimuona amenga'aria tai na shati Huwezi dhani anapenda rap kwa dhati Na ataDumu zaidi ya Zas mabati And if you're still doubting That I'm supposed to win this thing Scar ni Karema kwa Kikuyu na mwenye Beat anaitwa Alex kama mimi I'm giving you My Best while I'm still here Feeling in my chest I have no fear Panda shuka zote nitavumilia Cost ya Muziki nitagaramia
Writer(s): Alex Kimani, Lex Karema Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out