Letra

Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu We ni tajiri, wa matajiri We ni tajiri, tajiri yangu Lord, ni ngumu kujua we uko wapi ila unajua nilipo Naiska haki kuipata ni bahati na kwa waganga siko Vyuma vikiza najichangachanga kuusaka mshiko Na mbanga zinakwaza madada wa kudanga wanabamba vifo Na waliopinda we uwalinde no love Ka wale wajinga walionipinga napowinda wokovu Haunipi shida bila namna kuisolve We ndio mmiliki wa kila tiba na hauna roho mbovu Hauna roho mbovu unanipa incharge na power ninyanyue juu Ni zaidi ya dawa sikuhitaji ninapougua tu Unaniweka sawa devil akitua hamchukui Q Una uwezo wa kunigawa au kuniumbua sio tu kuniumba mkuu Ni rhumba tu ndio linaweka vumba juu na Kututesa kama mfungwa anayechungwa kudundwa juu We ndio BOSS ninaekuamini haututosi tukichomewa Sio wale wanaowahi kazini ili wafoke tukichelewa Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu We ni tajiri, wa matajiri We ni tajiri, tajiri yangu Mwanadamu amemtawala mwanadamu kwa kumuumiza Anakwapua mpaka asivyovihitaji bila kubakiza Hii inafanya nafsi yangu ikose subira Ikose usingizi, uoga huzuni niwe na hasira Kwangu furaha nikiwa na MUNGU sio mlungula Na pia siku zote mla raha na chungu hula Najua nilipotoka, Najua wapi nilipo isipokuwa ni we pekee unajua lini nitafika mwisho Cheo chako ni kirefu zaidi ya dunia Kipana zaidi ya bahari, ulinzi mkali hakuna askari anaefikia Namlaani shetani kiundani nipate kujua mkuu Ili nijihami na mtihani nisiache tusua Q Najua una huruma naomba nikibuma usinitose Mwanadamu atazingua heshima sio utumwa kwa Boss Hauwezi nunua uhai sasa najidai kwa lipi? Na kwako sote ... hata Malaya humpa ridhiki Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu Ewe, Ewe tajiri yangu Wewe ndiwe kila kitu kwangu We ni tajiri, wa matajiri We ni tajiri, tajiri yangu Siwezi kuwa masikini sababu Anaenitunza ni tajiri ni MUNGU Asieacha nigange njaa, nikose furaha, nikate tama Ewe Ewe tajiri, yangu We ni kila kitu kwangu Umebeba uhai wangu Umebeba maisha yangu Tajiri wa uhai wangu Tajiri wa maisha yangu Tajiri wa kila kitu kwangu
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out