Video musical

Incluido en

Créditos

PERFORMING ARTISTS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Composer

Letra

Hauwezi kushindana, oh kushindana Na mwanadamu mwenye kinywa Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima Vita vya maneno kuna watu ni majemedari Ukisema mshindane mbona mikono mtainua Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe Ukiendelea unawapa kichwa hao Basi laza imani rejea vitani Wakikuona waseme umekuwa sugu Acha waongee acha waseme seme Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi Ungejifunza ukimya haunanga hasara Fulani we fulani una shida gani Na uongo wanini Mwogope Mungu Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu Mimi nimeshakwambia
Writer(s): Goodluck Gozbert, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out