Video musical

Sara Nyongole - Maombi Yetu (Official Music Video)
Mira el video musical de {trackName} de {artistName}

Incluido en

Créditos

COMPOSITION & LYRICS
Sara Woltram Nyongole
Sara Woltram Nyongole
Songwriter

Letra

Ni wewe tu pekee unayeweza kutusaidia Teknolojia imeshindwa kutusuaidia Akili zetu zimefika mwisho Tunakutegemea wewe tu Sikia maombi yetu Ukayajibu sawa na mapenzi yako Sikia maombi yetu Ukayajibu sawa na mapenzi yako Maombi haya Bwana Twayaleta kwako Wewe ndiwe twakutegemea Wewe ulifanya Mbingu na dunia Hakuna jambo ambalo linaweza Kukushinda Je ni jambo gani gumu kwako Usiloliweza, Bwana Je ni jambo gani gumu kwako Usiloliweza, Bwana Je ni neno gani gumu kwako Usiloliweza, Bwana Je ni neno gani gumu kwako Usiloliweza, Bwana Usiloliweza, Bwana Usiloliweza, Bwana Usiloliweza, Bwana Usiloliweza, Bwana
Writer(s): Sara Nyongole Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out