Créditos
ARTISTAS INTÉRPRETES
Idd Aziz
Voz principal
William Dorey
Voz principal
Abass Dodoo
Percusión
Will Fry
Congas
Alex White
Saxofón tenor
Isaac Tagoe
Percusión
Dougal Caston
Saxofón alto
Nii Boye Owoo
Percusión
Adam Chatterton
Trompeta
Sly Tagoe
Percusión
Jon Moody
Corno
COMPOSICIÓN Y LETRA
Idd Aziz
Autoría
William Dorey
Autoría
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
William Dorey
Producción
Letra
Nimempata-mpata, nimempata-mpata, msichana mmoja
Msichana mmoja, jina lako ni nani? Yeye ni Afande, yeye ni Afande
Nataka nikujue, nataka nikujue, umetoka wapi?
Mbona Afande we murembo sana, mbona Afande we murembo sana
Naomba unishike mimi, unihukumu Afande unihukumu Afande
Oh nihukumu kifungo, kifungo cha maisha, nitie pingu Afande, nitie pingu Afande, nitie pingu Afande, Afande pingu ya maisha
Oh nikuhumu na upendo wako, nikuhumu na upendo wako, nihukumu na upend wako, ooh afande
Oh nataka unihukumu mimi
Samahani Afande, jina lako ni nani, samahani Afande, jina lako ni nani
Nataka nijue jina lako, ata kama ni kifungo, leo nataka unifunge, nataka unihukumu mimi
Nataka unihukumu mimi, kifungo cha maisha, nitie pingu Afande
Unifunge kifungo cha mapendo, unifunge kifungo cha mapendo
Nimempata-mpata msichana mmoja, jina lako ni nani?
Yeye ni Afande, jina lake Afande, anafanya kazi ya afande, anafanya kazi ya afande
Written by: Idd Aziz, William Dorey