Letra

Aaah aah aah... Aaah aah. We jamani mke wangu anadanga lake Mwenzenu ananikosha We kila siku ikifika morning Lazima atume pesa Mama watoto anadanga Na mke mwenzenu anikosha wewe, onaa We kila siku ikifika morning Lazima atume pesa, onaa Lakini danga wa juzi amenikera Amekuja hajaacha mizigo wala hela Alafu sidangi dangi na masela Danga na mapedeshe tupate hela We ukipata bwana wa kizungu Nenda naye kwa Mpalange Mi mumeo nimekuruhusu kadange Mwaka huu wife lazima tujenge Wasio tupenda sa waambie wajipange. Naheshimu madanga ya mke wangu Maana ndo yanayonipa faida Naheshimu madanga ya mke wangu Maana ndio yanayonifanya nashiba Naheshimu madanga ya mke wangu mimi Ndo yanayofanya navimba Eeh madanga ya mke wangu Maana ndio yanayonifanya naringa Madanga ya mke wangu yananipa faida Oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaaaa. Aaah. aah. Siku hizi mzinga wa ving'asti ndio umepea Mjini kila demu anapenda hela Halafu usiukadanga na maboya Kesho usije kurudi bila hela Sa baby ngoja nikuambie Nenda kadange upate kigari tuwavimbie Ooh baby ngoja nikuambie Nenda kadange upate kigari tuwavimbie Halafu home usirudi mapema Usicheze na kazi ma mtu utachina Kwani madanga ndugu hayajatema Mi nimemiss kula chips na nyama Kama ukipata bwana wa kizungu Nenda naye kwa Mpalange Mi mumeo nimekuruhusu kadange Mwaka huu wife lazima tujenge Waso tupenda sa waambie wajipange. Naheshimu madanga ya mke wangu Maana ndo yanayonipa faida Naheshimu madanga ya mke wangu Maana ndio yanayonifanya nashiba Naheshimu madanga ya mke wangu mimi Ndo yanayonipa faida Eeh madanga ya mke wangu Maana ndio yanayonifanya nashiba Aaah. aah. Noma sana twendee, twendee maa Kwanza nikuulize hivi unamjua Yesu? Yubu Khan nikuulize unamjua Yesu we? Shabalala nikuulize unamjua Yesu we? Boss Peter nikuulize unamjua Yesu? So kwa jina la Baba hilo Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina So kwa jina la Baba hilo Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina Yule dada anayecheza kati mnamjua? Ndo MashaLove alo kalia chupa akapasua We yule dada anayecheza kati mnamjua? Ndo Wanjala alo kalia chupa akapasua Basi twende msimshike jamani ana shot ua umeme Na kibaridi kwa mbali muacheni ateteme Msimshike ajibu ana shot ya umeme Na kibaridi demla mwacheni ateteme Kati mwacheni ateteme Ajibu ateteme Basi mwacheni ateteme Shabalala ateteme
Writer(s): D Voice Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out