Letra

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Jina lako ni Bwana (Wewe ni Bwana wa Mabwana) Unadumu na kutawala Unastahili Unastahili Bwana Bwana Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Bwana Bwana Unastahili Unastahili Bwana Bwana Uweza ni wako Mamalaka ni yako Bwana Bwana Uweza ni wako Mamalaka ni yako Bwana Bwana Unatawala milele Bwana Bwana Umejivika heshima Bwana Bwana Unatawala milele Bwana Bwana Umejivika heshima Bwana Bwana
Writer(s): Essence Of Worship Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out