Letra

Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Wewe Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji I need You, You need me Huo ni ukweli wa mambo Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Kitabu hakihitaji msomaji Mwalimu hahitaji mwanafunzi Biashara haihitaji mteja (We... Oooh) Producer hahitaji mwimbaji Mchungaji hahitaji mshirika Raisi hahitaji mwananchi Sote twaitajiana Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Ewe mtumishi we Kiongozi wa Taifa we Nina neno kidogo Naomba niseme kidogo Mungu mgawa wa Vipawa Anayetoa Neema Amenipa fungu langu Wengine kawapa mengine Ningepewa vyote mie Nifanye kila kitu mwenyewe Hakika nisingeweza Popote nisingeenda Kawapa wengine kuchunga Wengine kufundisha Wengine Unabii Na wengine kufasili lugha Wengine kawapa Utume Wengine Uinjilisti Na yote lengo lake moja Ujengwe Mwili wa Kristo Hajasema aliye zaidi Wala aliye dhaifu Kila mtu na neema yake Eeeh Lengo tujenge mwili wa Kristo Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji (Eeeh, Wooh Wooh) Neema Hutambuana Neema Huheshimiana Neema Huinuana Neema Huombeana Neema Zikikutana Neema Husalimiana Neema Hazishindani Neema Huzaa furaha Neema Hufunika udhaifu Neema Hufungua milango Neema ni Mkono wa Mungu Neema Inanipa kusonga Napenda Neema Yako Nakubali Neema Yako Naheshimu Neema Yako Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Neema Yako Napenda Neema yako Naheshimu Neema yako Nakuhitaji, Wanihitaji Napenda Neema Yako Natambua Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji Neema Yako Napenda Neema Yako Naheshimu Neema Yako Nakuhitaji, Wanihitaji
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out