Incluido en

Créditos

ARTISTAS INTÉRPRETES
Linex
Linex
Canto
Rayvanny
Rayvanny
Canto
COMPOSICIÓN Y LETRA
Rayvanny
Rayvanny
Letrista
PRODUCCIÓN E INGENIERÍA
Dreez
Dreez
Producción

Letra

[Verse 1]
Eti nilemwita my queen eminado leo kashika njia
Aloyafanya mi simanzi nishachoka kulia
Nipe Panadol changanya Chloroquine madawa yote jazia
Sumu ya panya wapi kitanzi nishachoka dunia
[Verse 2]
Aliniahidi nitakuwa wake kufa na kuzikana
Kigoma kwa bibi ngala mukunze na tukapelekana
Tena akanifariji eti anafanya mipango tuanze kuona (Kumbe muongo!)
Alinidanganya kanifanya cartoon (Kumbe muongo!)
Hadi safari za akasema salimi (Kumbe muongo!)
Hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni (Kumbe muongo!)
Aliyoyafanya leo kwangu huzuni najuta mie
[Chorus]
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
[Verse 3]
Wengi mnapenda sura shepu mibinuko
Wakati hamna kitu kwa mifuko
Vimba kama puto kuringia uso
Kijana jua kuna babu yupo
Anahudumia, anagharamia
Kodi ya nyumba anamlipia
Na furniture pia kamnunulia
Ipo siku utaikalia
[Verse 4]
Macho kwenye pesa, macho kwenye noti
Macho sio kwa handsome, macho ni kwa bosi
Chat za Whatsapp hizo ni namba za mashosti
Ukitaka ufe cheki namba za kitosi
Shevu fundi wa heleni kumbe fundi wa mkoleni
Fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni
Ana fundi mikocheni ana fundi magomeni
Ila fundi wa manzese humfikisha kileleni
[Verse 5]
Wakilia wana machozi bandia
Macho funika pazia, msishangae mikia mtaumia vijana
[Chorus]
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao
Waongo wao, waongo wao
Tena waongo wao, waongo wao
Written by: Rayvanny
instagramSharePathic_arrow_out